DAN FLEVOR, Mganda anayetaka Kolabo na Wabongo!!

image

 

msanii kutoka Uganda anaitwa DAN FLEVOR ambae kwa sasa ameamua kuja Tanzania kwa lengo la kutengeneza fan base ya hapa TZ, pia anahitaji kujifunza kiswahili zaidi na kufanya kazi na wasanii wa TZ. Kati ya wasanii ambao Dan Flevor ana mipango ya kufanya nao kazi ni pamoja na Lady Jaydee na Linex. Wimbo huu ni hatua za mwanzo za kutimiza ndoto zake. wimbo umefanywa katika studio ya Tetemesha Recordz ya Mwanza chini ya producer Kid bwoy. Dan Flevor kwa upande wa Tz anasimamiwa kazi zake na Ujazo Entertainment.

 

3 Responses to DAN FLEVOR, Mganda anayetaka Kolabo na Wabongo!!

  1. peter says:

    Kuna kijana anaitwa kinyonga huko Kampala ni moto wa kuotea mbali nahisi amewahamasisha vijana wa kampala kuselebuka na lugha ya kiswaaaa

    PIUS LIGI YA WINGEREZA UMEISAHAU???

  2. Very nice website and outstanding and articles.precious layout, as share great things with fantastic ideas and concepts.

  3. I believe this is often an informative submit and it really is knowledgeable and really useful. I’d like to thank you to the efforts you have manufactured in writing this post.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: