Papaa Farid na Bana Wenge

169117_1600831068827_1477585379_31386809_5898569_o

Toka Kushoto ni Titina Alcapolne, Aimelia Lyase na Papaa Farid Al-Shukairy aka Farid na Muscat mapema mwaka huu huko Dubai, Huyu bwana unaweza shangaa inakuwaje anapenda Bolingo kwa taarifa tuu Farid ni Wenge BCBG die hard Fun, amekuwa mfatiliaji, mpenzi na mchangiaji mkubwa sana humu kwenye Spoti na Starehe, Merci Mingi Papaa kitokooooooooooooo.

NAjua unampenda sana Makaba mi mwenyewe ni shabiki mkubwa sana wa huyu mchawi wa solo naamini hakuna mtu anapiga solo kama Makaba.

Advertisements

One Response to Papaa Farid na Bana Wenge

  1. Farid wa Muscat says:

    Merci mingi Papaa Pius

    nashkuru sana kwa kunitambulisha kwa wanafamilia wenzetu wa wenge ambao hawanifahamu, kusema ukweli wewe ndio unastahili pongezi kwa juhudi kubwa unazofanya ilimradi kumridhisha kila atakae tembelea katika web yako hii ambayo si utani iko juu sana na ndio maana na sisi unazidi kutupa moyo wa kutoa michango mingi inayohusu sport na starehe,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: