Huyu ni nani Wenge enzi hizo?

image

Naomba kusaidiwa kidogo huyu jamaa katikati ya Werason na Adolph Dominguez ni nani?

Gonga hapa umuone hii video mwenyewe amezuiwa embedded feature gonga hapa kumuona

http://www.youtube.com/watch?NR=1&v=24pevhPq3Fs

Advertisements

3 Responses to Huyu ni nani Wenge enzi hizo?

  1. muddy washington says:

    Huyu ni Ferre Gola alikua ndio amejiunga wenge na hii ni moja kati ya concert za mwisho mwisho za wenge musica original kabla hawajatengana jb na werrason,hapo ilikua abidjan,ferre aliimba sauti ya Jb vizuri sana na alicheza sana kwenye concert hii,nilipata kuwa nao mkanda mzima wa video hii,sijui hata ulipotelea wapi,zamani ilikua raha ukienda kariakoo au posta pale food world unaipata mikanda ya video hizi siku hizi kila kona kina kanumba

  2. Anonymous says:

    Ferre Gola huyo kaka enzi hizo bado kinda

  3. Farid wa Muscat says:

    kweli hata mimi umenikumbusha mabli sana kaka bila shaka huyo ni Ferre gola hata mimi niliwahi kua na mkanda huu halafu ulipotea sababu ya kuazima marafiki , maana si utani show yake ilikua bab kubwa kuna jamaa alikua anacheza vibaya sana huku anazungusha ring la baiskeli kwa meno basi ilikua mtu huishi hamu kutazama .

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: