Video Mpya, NOT OVER yakwake Solo Thang

Ni mmoja wa Ma Mc ambaye binafsi namkubali sana si tu kwa mashairi yake bali na sauti ya ki MC anayo, namzungumzia si mwingine ila ni Msafiri Kondo aka Traveller ukipenda muite msafiri mi namuita Mwanadiplomasia wa  Hip Hop.

Wimbo huu unaitwa NOT OVER uko kwenye albamu yake ya Traveller, Beat ya wimbo huu imepikwa na P Funk Majani, Umerekodiwa na Kuchanganywa na Roof Records. Angalia video qulity msikilize jamaaa, jamaa msumali bwana. Ukitaka kujua mengi kuhusu Solothang Gonga hapa.

One Response to Video Mpya, NOT OVER yakwake Solo Thang

  1. Reasonably sure he will possess a good read. Thank you for sharing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: