Chelsea kumsajili kinda wa miaka 16 mzaliwa wa Somalia

September 12, 2011

Klabu ya Chelsea iko mbioni kumaliza deal ya kumsajili kijana mdogo wa miaka 16 ambaye ni mzaliwa wa Somlia Starlet Islam Feruz ambaye anatokea timu ya watoto wa CELTIC.

Alisema wakala wa mchezaji huyo ambaye anacheza nafasi ya Forwardimage, Feruz ndio kwanza amefikisaha miaka 16 lakini anasemwa si tu Kumendewa na Chelsea ambao wako mbioni kabisa kumaliza usajili wa kinda huyo bali klabu za Man United na Man City nazo pia zilikuwa zinammendea kijana huyo anayetisha.

Soma zaidi hapa.


%d bloggers like this: