VODACOM MISS TANZANIA 2011 NI SARHA ISRAEL

 Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Tracy Sospeter (kulia) na mshindi wa tatu,Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.

Vodacom Miss Tanzania aliemaliza muda wake,Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa Vodacom Miss Tanzania,Sarha Israel mara baada ya kutangazwa hivi punde.

Picha zote na Muhidini Issa Michuzi, Gonga hapa kuona zaidi

Advertisements

11 Responses to VODACOM MISS TANZANIA 2011 NI SARHA ISRAEL

 1. Wandi says:

  All da best

 2. lusasi says:

  salha alistahili aisee….

 3. Wakuzaliwa says:

  Mulishindwa hata kujali utu???tumepoteza ndugu zetu kibao munafanya umiss??au ndugu zetu waliokufa walikuwa kuku??na nyie Vodam tutawapiga vita mpaka mwisho wa dunia kwa kitendo chenu cha kuendesha mashindano bila kujali community iliyowazungunka.

 4. Issa Mahmoud says:

  VODACOM mna deni na sie atii Na tutafanya kampeni mpaka simu zenu watu watupe hamjui wapemba nyie shenziiii

 5. Anonymous says:

  Hivi, nyie mnapenda kupiga kelele tu na kutafuta ugomvi usion na miguu wala kiuno! Vodacom si sponsors tu? Hasira nao ni ya nini sasa, wakati hii kitu si yao wala haiwahusu? Wa kuwavalia njuga ni Hashim na Wizara! Vodacom walichofanya ni kutoa pesa tu kama sponsors – for marketing purposes.

  “Sponsorship is a cash and/or in-kind fee paid to a property (typically in sports, arts, entertainment or causes) in return for access to the exploitable commercial potential associated with that property.”

  “Sponsorship is supporting an event, activity or organization by providing money or other resources that is of value to the sponsored event. This is usually in return for advertising space at the event or as part of the publicity for the event.”

  Kabla hamjaendelea kuwa the proper majuha that you are na kujiaibisha zaidi, please kwanza mpate kisomo cha nini maana ya sponsorship. Mxxiiiiiiiii!!

  “To sponsor something is to support an event, activity, person, or organization financially or through the provision of products or services. A sponsor is the individual or group that provides the support, similar to a benefactor.”

  Sasa nyie makenge, the person you should be attacking is the BENEFACTOR!

 6. Anonymous says:

  Cjapenda mamis’hv ww ludenga’unajielewa kwel!?cku zote una2tolea mamis wa ajbu!hawana vigezo..2naomba kamati ya miss Tanzania!ifanye uchaguz wa kuchagua kiongoz mwngne ambye n mmama na wala cyo ww!na kw jinc hii ha2j kushnda hta kdgo!

 7. steven john says:

  money mbele saaaana mapimbi nyie na wewe unaewatetea hapo hujui voda ndo walilazimisha wakidai wameshapoteza fedha nyingi..,, MAKENGE NYIE MSIO NA DINI MAFIRAUNI

 8. steven john says:

  hamna adabu na uzalendo pimbi tuuu

 9. faith simotwo says:

  wow I love that

 10. hip hop music rnb music blog new music hip hop 2012…

  […]VODACOM MISS TANZANIA 2011 NI SARHA ISRAEL « Spoti na Starehe[…]…

 11. Its my fantastic pleasure to go to your web site and to appreciate your excellent posts here. I like it a lot. I can feel you paid a lot attention for those content articles, as all of them make sense and are very handy.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: