Watu wametoka mbali aiseee

76512_168885416468967_100000425289002_453940_252041_n

Les wenge musica b.c.b.g. 4×4 la belle époque ( Noel ngiama Alias Werra Son, Autre, Jean Bedel Mpiana Alias JB Mpiana, Miblo Sita yaya na Jolie Mayala et Blaise Bula).

Advertisements

5 Responses to Watu wametoka mbali aiseee

 1. Ntilya J says:

  Kaka huwa kila nikiingia hapa nafarijika sana sanaaaaa Hii ni kali kaka duh

 2. Lilii sexiii mwana kinondoni says:

  hapa naona hata mikorogo bado,wote ngozi asilia,kumbe jb hakuwa mweupe,ni weupe wa dukani,ha ha haaaaaaaa,poa lakini nimeipenda hii.

 3. Anonymous says:

  Du! Kaka hii kiboko, kupenda kwangu Wenge, sikufikiria kama naweza kuja kuona picha kama hii.

  Sisi tunaitwa kwa majina ya watoto wetu.

 4. Anonymous says:

  he hii picha umeitoa wapi mukubwa…safi sana nimeipenda

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: