Hata Mbuyu ulianza kama mchicha

278929_239414916070727_100000066625861_1054722_86703_o

Ukisikiliza interview za wanamuziki wetu wa kizazi kipya akapata kuulizwa ni lini alianza muziki utasikia muziki mi nilianza tangu nikiwa mtoto… ila basi tu hapo ana single moja tu redioni. Huyu mtoto pichani akisema alianza muziki tangu akiwa mtoto naweza kumuelewa we mwenyewe unaona mambo ya Etepe Buengo hayo.

One Response to Hata Mbuyu ulianza kama mchicha

  1. Jules Suley says:

    Huyo dogo anayekula kamasi kushoto kwa Didier Masela mbona kama M’piana kabla ya kujichubua? Mze Pius, ni yeye au?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: