Rais awapandisha Mabrigedia Jenerali Saba

maganga

Pichani ni Brigedia Generali Emanuel Maganga akiwa na Mkewe Love Maganga na watoto wao wakati wakisherehekea miaka 25 ya ndoa yao mapema mwaka huu, Brigedia Generali Maganga ni mmoja wa Mabrigedia saba walipandishwa cheo na Rais jana, Kwa sasa ni Muambata wa Jeshi huko Washington DC – Marekani  pamoja na Ottawa Canada,  Hongera sana.

 

Na Makao Makuu ya Jeshi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amewapandisha cheo Maafisa Wakuu saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, kuanzia tarehe 02 Septemba 2011. Maafisa waliopandishwa cheo ni kutoka Kanali kuwa Brigedia Jenerali. Maafisa Wakuu hao ni Brigedia Jenerali MMJ Mangwamba, Brigedia Jenerali LP Kilama, Brigedia Jenerali E.V Milinga, Brigedia Jenerali Emmanuel Maganga, Brigedia Jenerali J.M Makere, Brigedia Jenerali Chando na Brigedia Jenerali IS Nassoro.

Maafisa wanne kati yao wamevishwa cheo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange leo tarehe 07 Septemba 2011, Makao Makuu ya Jeshi – Upanga, kwa niaba ya Amiri Jeshi Mkuu. Maafisa watatu watavalishwa cheo hicho baadaye kwa kuwa wapo nje ya nchi kwa sasa.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi kwa niaba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Katibu Mkuu, Maafisa, Askari na Watumishi wa Umma, amewapongeza na kuwatakia wote kazi njema katika cheo chao kipya. Aidha amewaasa kuongeza juhudi zaidi ya kazi kwani dhamana waliyopewa ni nzito zaidi. Wawe mfano mzuri wa kuigwa, kwani matarajio ya watu ni makubwa kwao.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano,
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 0764 742161

8 Responses to Rais awapandisha Mabrigedia Jenerali Saba

  1. Ntilya J says:

    Dah Pius huyu Mzee wako katoka mbali sana namkumbuka daaah Mungu mkubwa na kweli kila mwenye kusubiri Mungu yuko naye I bet atakuja kuwa mkuu wa MAjeshi huyu mchapa kazi sana Mzee Maganga.

    Mdau -UK

  2. Old school Website pros would love your blog. Your blog is really useful to me. Great writing and straight to the point.

  3. Admiring the hard work you put into your website and in depth information you provide. It’s good to come across a blog every once in a while that isn’t the same unwanted rehashed material. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

  4. We stumbled over here different website and thought I should check things out. I like what I see so now i am following you. Look forward to looking over your web page yet again.

  5. It’s a shame you don’t have a donate button! I’d definitely donate to this excellent blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will share this blog with my Facebook group. Chat soon!

  6. Currently it appears like Expression Engine is the top blogging platform out there right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: