Wazee wa Ngwasuma wakikamua…

image

Wazee wa Ngwasuma, kutoka kushoto, Patchou Mwamba ‘Tajiri’, Mohamed Kingombe ‘King Blaise’ na Muleziri Boyange ‘Mulemule’ wakikamua. Patchou Mwamba kijana anayekuja juu sana kwenye ulimwengu wa Movie mpaka anawatisha mashabiki wake wa Muziki kuwa anaweza kubobea zaidi kwenye Movie na  kuachana na Muziki. Patchou niliongea naye anasema ataendelea kukamua kote kote na kwa mashabiki wa Muziki anakuja na kitu si cha mchezo.

Advertisements

4 Responses to Wazee wa Ngwasuma wakikamua…

 1. Fatuma Mtanga says:

  Huyo wa katikati ni King Blaize kweli?mi nadhani huyo ni Roger Muzungu a.k.a.Roger Mundele kwa kilingala

 2. Anonymous says:

  Huyo ni King Blaise sio Roger Muzungu huwa wanafanana kwa mbali.

 3. Sheree Pletz says:

  I want you to thank for your time of this excellent read through!

 4. Valery Pensa says:

  Nice facts, fantastic and valuable style, as share great things with superior tips and ideas.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: