Sayons serieux vs Malewa 2 Generiques

Leo hapa tuna video mbili ambazo ni generique  zinazopatikana katika album mbili mpya za mafahali wawili katika muziki wa congo,Tunayo video ya sayons serieux ambayo ni album mpya ya wenge bcbg ya kwake JB MPIANA kwa upande mmoja na tunayo video ya techo malewa 2 ambayo ni album ya wenge maison mere ya kwake Le Roi De La Foret Werrason,mdau unaombwa kuzitzama vizuri generique hizi mbili halafu utuambie wewe kwa maoni yako nani amefanya vizuri kuliko mwenzake kwenye video hizi mbili? Mapenzi binafsi unaweza kuyaweka pembeni kidogo ili uwe fair.

Baada ya kuzitazama generique hizi,tutaanza pia kutazama nyingi moja moja za Wenyewe Jb na Werra na pia zilizotungwa na vijana wao zilizomo kwenye album mbili hizi,mwisho tutajua nani amefanya vizuri zaidi ya mwenzake,je ni JB na sayons serieux yake ama Werrason na Malewa 2 yake?tutajua.Kwa sasa pata video hizi mbili,then toa maoni yako.

Merci mingi kwako Mukulu The Romantic kwa kuwezesha mambo meeeengi humu ndani. Pamoko sana mukulu kwa support.

 

Kisha Peruzi na hii utoe maoni yako. Kama kawaida hapa haturuhusu lugha chafu wala hakuna kugombana si unajua muziki wenyewe unataka usmat kuanzia mavazi mpaka mambo fulani.

15 Responses to Sayons serieux vs Malewa 2 Generiques

 1. MAMA TABU FATOU LA TANZANIANE says:

  wote mi naona wamefanya vizuri,sema ya werrason imekuwa ndefu sana,yani haiishi mpaka inachosha,otherwise good job kwao wote,jb anaonekana kujipanga zaidi hasa upande wa mavazi.

 2. Mdau sokomatola,mbeya says:

  jb kafunika kaka mbona hilo liko wazi sijui kwenye video nyingine lakini kwenye hizi intro mbili jb nampa point tatu werrason bado hajapata kitu,japo mimi ni mshabiki wa koffi

 3. Anonymous says:

  JB Mpiana all the way no doubt about it….

 4. Didistone says:

  kiukweli video ya jb ndio imetulia japo mimi mnazi wa werra,lakini hapo kwenye video hii werra alikurupuka,jb anaonekana kutulia zaidi sasa nadhani siri kubwa anayo mkewe mamaa amida shatur,kwani alipomkimbia jb alipoteza mwelekeo akabaki kulilia tu kila nyimbo aliyotunga na video zake zikawa ovyo

 5. Anonymous says:

  werra ametokota,video bomu

 6. mgosi says:

  jb mpiana anatisha kaka,naona amekuja kivingine safari hii.

 7. Anonymous says:

  ondoa hiyo takataka ya werrason,haistahili hata kuwekwa pamoja na ya jb hapo

 8. jason says:

  jb amemzidi werra,kulingana na hizi video,lakini ile techno malewa ya werra ni moto sana.

 9. Hi there, just became aware of your blog through Google, and found that it’s really informative. I’m gonna watch out for brussels.
  I’ll be grateful if you continue this in future. A lot of people will be benefited from your writing. Cheers!

 10. Hmm is anyone else experiencing problems with the images on this blog loading?
  I’m trying to find out if its a problem on my end or if it’s the blog.
  Any responses would be greatly appreciated.

 11. I have been exploring for a little for any high quality
  articles or blog posts on this kind of area . Exploring in Yahoo I ultimately stumbled upon this website.
  Reading this info So i’m glad to convey that I have an incredibly just right uncanny feeling I found out just what I needed. I such a lot without a doubt will make certain to do not disregard this website and provides it a look regularly.

 12. Hi there! Do you know if they make any plugins to protect against
  hackers? I’m kinda paranoid about losing everything I’ve worked hard on.
  Any tips?

 13. theknot.com says:

  May very well not be tempted to buy in large portions,
  but if you do the arithmetic, you’ll save more if you get more
  onsale.

 14. Admiring the time and effort you put into your blog and in depth information you provide. It’s awesome to come across a blog every once in a while that isn’t the same outdated rehashed material. Fantastic read! I’ve saved your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

 15. I want you to thank for your time of this superb read through!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: