Habari njema kwa wapenzi wa wenge bcbg,mzigo wa DVD ya Sayons serieux umeingia sokoni,kazi kwenu wadau kupita katika maduka ya muziki kuilizia hiyo DVD,habari za kuasisimua ni kwamba zimetoka kwa pamoja na album ya wenge Maiso Mere Malewa No.2. Nani atafunika kwenye mauzo? tutajua. sio siri jb sasa ame improve kwenye video.
Advertisements
Banasema kinywa cha muzee kinanuka ugoro ila kamwe hakisemi uongo, kweli kabisa now papa cheri sulutani suverain premiere bin adam mukulu anatisha the video quality is superb.
Merci Papa Pius tupo pamoja .
the video is good,kazi nzuri bana ba wenge bcbg wamefanya this time,i’m werrasonique by the way,lakini mtani akifanya vizuri si dhambi kumsifia.
Alaa kumbe mambo ya mpunda hadharani sasa…can’t wait kesho asubuhi na mapema kariakooooooo kwa mamu store nikaanze kumghasi aitafute hiyo kitu maana hawa wadosi tusipowagasi sasa tutaipata june mwakani si unajua wanaagalia soko liko vipi?kweli nimeamini sisi humu ndani tutakua wa kwanza kila siku kujayajua haya mambo.
asante sana wadau kwa kutuhangaikia.
werra yuko juu mtahangaika sana lakini wa mbili ni wa mbili tu….
Asante sana utawala blog sasa naona iko up to date kila siku mambo mapya kama michuzi vile,yani hadi raha,sio habari zinakaa mpaka zinachacha kama blog flani flani zimebaki majina tu kila ukiingia unakutana na habari zamwaka juzi