Re Union ya Zain Wenge

Hii ilikuwa Mwaka jana ambapo AirTel walifanikisha kuwaunganisha baadhi ya wanamuziki wa iliyokuwa Wenge BCBG.

Kuanzia jumatatu nitakuwa nawaletea story ndefu ya kilichoiua Wenge BCBG. Usikose makala hii EXCLUSIVE hapa Spoti na Starehe.

Image

Allain Makaba Sololist na kulia mwenye miwani myeusi ni Werason Ngiama Makanda.

 

Image
On the Stage.

Image
Far Left – Aimelia liasse, White Coat – Adolph Tata, 3rd Right -Werrason, 2nd Right – Blaise Bula, Far Right – Alain Mpela

Image

Image
Far Left – Aimelia liasse Domingongo , 2nd Left on Guitar -Didier Masela, White Coat – Adolph Tata, 3rd Right -Werrason, 2nd Right – Blaise Bula, Far Right – Alain Mpela

Image

Image
Far Right – Alain Mpela, 2nd Right – Blaise Bula, 2nd Laft – Adolph Tata, Far Left – Aimelia Liasse

 

Image

Image
Far Left – Blaise Bula, Right on Microphone – Alain Mpela

Image
Far Right – The Prince Alain Makaba, 2nd Right – Alain Mpela, 3rd Right – Blaise Bula

7 Responses to Re Union ya Zain Wenge

 1. Anonymous says:

  Kaka JB je yuwapi?

 2. Anonymous says:

  Papaa cherii haonekani mboni hapa?

 3. Didistone says:

  JB hapendi kujichanganya na hawa jamaa kutokana na visa walivyokuwa wakimfanyia mpaka mtu mzima alikua kila siku haishi kulia machozi na kujuta kuwafahamu,alipopelekewa invitation,aliwakatalia kiaina

 4. Stivin says:

  JB ni mbinafsi, anachojua yeye ni kujichubua tuu!

 5. Fatuma Mtanga says:

  Kumbe kutoonekana kwake yeye tu kulileta tofauti eeh si mnasemaga hana lolote sasa mbona mnamlilia…jb hawezi kukaa na wale wanafiki wenye wivu na majungu,kama walikua wanaitaka wenge iwepo kwa nini walianzisha choko choko za kumuandama jb mpaka akaamua kujitoa na kuwaachia wenge musica yao waliyoianzisha na kumkaribisha yeye wakamtumia kama condom akaipaisha bendi kwa nyimbo zake walipoona kila mtu kawaajua wamekua maarufu kila mtu akaanza kujidai mkubwa muanzilishi na kumtenga wakuja JB,Hata ningekua mimi jb nisingetaka kukaa meza moja na watu wapuuzi kama wale,wafanye tena re union yao

 6. Reasonably certain he’ll possess a good go through. Thank you for sharing!

 7. Admiring the commitment you put into your blog and in depth information you provide. It’s great to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed material. Great read! I’ve saved your site and I’m including your RSS feeds to my Google account.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: