Picha zote kwa hisani ya Muhidini Michuzi Blog
Wageni wa Mh. Rage wakiwa mjengoni walikoenda kumtembelea, wakifatialia mijadala Bungeni, wakiwa na “Ubao” wao.
Wageni wa Mh. Rage wakitoka Bungeni.
Wageni wa Mheshimiwa Rage wakiwa na Wabunge baada ya kupeleka “Ngao” Yao Bungeni.
Viongozi na Wachezaji wa Simba majuzi walitua Bungeni walikoenda kuonyesha Ngao yao baada ya kuifunga yanga kwenye mechi ya Ngao Ya Jamii iliyokusudiwa kwa ajili ya ufunguzi wa Ligi ya Vodacom.
Mashabiki wa klabu hizi mbili hasimu ambao ni watani wa jadi (Nikiwemo mimi wa Yanga) walilumbana juu ya hatua ya Klabu ya Simba nayo kupeleka Ubao wao (Ngao) Bungeni huku mashabiki wa Yanga wakisema kuwa walikuwa na haki zaidi kupeleka Kombe lao kwa vile ule ni ushindi mzito kulinganisha na huu wa Simba.
Angalizo:
Mashabiki wa Simba msikasirike ni katika kuendeleza utani wa Simba na Yanga.
Dear Sir / Madam,
Jag är en registrerad privat pengar långivare. Vi ger ut lån för att hjälpa människor, företag som behöver uppdatera sin finansiella ställning över hela världen, med mycket minimal årlig ränta så låga som 3% inom ett 1år till 30 års återbetalning varaktighet period till någon del av världen. Vi ger ut lån inom intervallet € 5000 till 100.000.000 euro. Våra lån är väl försäkrad för maximal säkerhet är vår priority.Interested person bör kontakta oss via e-post: georgecanning.loanfirm@gmail.com