Messi Kiboko, Dakika 15 Afunga mabao matatu

Leone Messi ameonyesha kuwa yeye ni kiboko pale alipoingia badala ya Fabregas na kupachika mabao matatu ndani ya dakika 15. Katika mchezo ambao mwanasoka Cesc Fabregas kwa mara ya kwanza amefunga bao lake la kwanza tangu arejee klabu yake ya zamani ya Barcelona katika mechi ya kirafiki dhuidi ya Napoli pale Barca waliposhinda 5-0. Fabregad aliwafurahisha mashabiki waliokuwa na hamu ya kumuona ikiwa ni mara ya pili anaingia uwanjani tangu ajiunge na klabu hiyo pale alipopachika goli safi dakika ya 25 ya mchezo ambao uliisha kwa karamu ya magoli.

Hata hivyo alikuwa Seydou Keita aliyeipatia timu yake bao la pili na baadaye Lionel Messi aliingia badala ya Fabregas na kufanya mauaji alipofunga mabao matatu peke yake ndani ya dakika 15.

One Response to Messi Kiboko, Dakika 15 Afunga mabao matatu

  1. Mattejelly says:

    He is surely the world best player. Itakuwa ngumu sana mchezaji mwingine kuchukua nafasi yake.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: