SAMATA na TRESOR MPUTU wang’ara VODACOM Super League Congo.

 • Tresor Mputu amaliza adhabu ya mwaka mmoja na kurejea uwanjani kwa kishindo.
 • SAMATA azidi kung’aa

Mchezaji Tresor Mputu ambaye alikuwa kifungoni akitumikia adhabu ya mwaka mmoja baada ya kumfanyia fujo refa kwenye mechi ya TP Mazembe na APR ya Rwanda amerejea uwanjani kwa mbwembwe huku mashabiki wakimlaki kwa bashasha.

Tresor Mputu ni mchezaji ambaye amejinyakulia umaarufu si tu kwa Africa bali pale aliponyakua uchezaji bora kwa wachezaji wanaocheza ligi za huku Africa na pale alipofanikiwa kufanya majaribiribio na klabu ya Arsenal lakini bosi wa klabu yake ya TP Mazembe alipanda dau na kumbakiza.

Majuzi TP Mazembe walicheza na klabu ya TS Malekesa na klabu ya TP Mazembe ilishinda kwa bao moja, ikiwa ni katika ile ligi maarufu ya Vodacom Super League.

Leo jioni hiii Klabu ya TP Mazembe imeendeleza ushindi huku ilipocheza na Don Bosco katika mchezo wa Vodacom Super Ligi mchezo ambao uliisha kwa mabao 3-0 mabao hayo yalifungwa na SAMATA (15′), MPUTU (20′) na KIMWAKI (68′)

287462_250201415002159_120177301337905_886200_6217380_o

Pichani Mbwana Samata mbele na nyuma ni Tresor Mputu wakipambana na vijana wa TS Maleketa katika Super Ligi ya Congo.

Hii ilikuwa tarehe 19 Majuzi na leo TP Mazembe wameendeleza wimbi la ushindi walipocheza na Klabu ya Don Bosco na mpaka mapumziko TP Mazembe walikuwa wakiongoza kwa mabao 2-0 ambayo yamefungwa na Mbwana Samata na Tresor Mputu ambaye ametoka kwenye adhabu ya mwaka mzima.

 

287977_250192371669730_120177301337905_886176_8159163_o

Kikosi cha TP Mazembe ambacho kilicheza na TS Maleketa majuzi. Nyuma kushoto ni Mbwana Samata.

 

image

Mbwana Samata Hashikiki, Hapa jamaa akimshika bukta pamoja na hali ya hewa uwanja kujaa maji jamaa walikipiga na Mazembe walishinda.

288905_250198341669133_120177301337905_886191_2882686_o

Samata akikata Mbuga.

 

290303_250178328337801_120177301337905_886149_5285536_o

Pichani ni mchezaji Tresor Mputu akiwasili uwanjani chini ya ulinzi wa Polisi huku mashabiki wakimzonga.

 

210937_250183531670614_120177301337905_886157_7916715_o

Mashabiki wakifatilia mchezo wa TP Mazembe na TS Malekesa.

Kwa matokeo ya leo timu ya TP Mazembe imeshika nafasi ya pili na msimamo kamili ni kama ulivyo hapo chini.

image

Picha zote kwa hisani ya TP Mazembe

Advertisements

10 Responses to SAMATA na TRESOR MPUTU wang’ara VODACOM Super League Congo.

 1. piusmickys says:

  @ Sergio
  Sorry and Corrected

 2. sergio says:

  “mchezo ambao uliisha kwa mabao 3-0 mabao hayo yalifungwa na Tresor Mputu, Mbwana Samata na LUSADISU.”

  Les buteurs sont SAMATA (15′), MPUTU (20′) et KIMWAKI (68′)

 3. Anonymous says:

  conglat’s Mbwana Samata for achievements you are get.ting.

 4. Anonymous says:

  conglat’s Mbwana Samata for achievements you are getting.

 5. khalfan( BABA Tariq) says:

  congalats SAMATHA.

 6. arnold Godwill says:

  naomba nipate list ya wachezaji wanaongoza kwa magoli katika ligi kuu ya kongo.

 7. Anonymous says:

  MAGAZETI

 8. Chan Herndon says:

  I want you to thank to your time of this amazing study!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: