Petr Cech nje kwa wiki nne

Na BBC

Kipa wa Chelsea Petr Cech hatoweza kucheza kwa wiki tatu hadi nne baada ya kuumia goti akiwa mazoezini.

Cech

Petr Cech

Cech, 29, atakosa mechi za ligi kuu dhidi ya West Brom, Norwich, Sunderland na Manchester United.

Meneja wa Chelsea Andre Villas-Boas atalazimika kuchagua kati ya Hilario au Ross Turnbull, ambao ni makipa wa akiba.

Kipa mwingine wa akiba aliyesajiliwa hivi karibuni na Chelsea Thibault Courtois anachezea Atletico Madrid kwa mkopo.

“Alianguka vibaya, tulidhani ameumia sana,” amesema Villas-Boas.

Ameongeza: “Ilikuwa mwisho wa kufanya mazoezi, na ni jambo ambalo hutokea mazoezini.”

Cech pia atakosa mchezo wa ufunguzi wa Chelsea wa Klabu Bingwa Ulaya, na pia mchezo wa timu yake ya taifa wa kufuzu kucheza Euro 2012 dhidi ya Scotland.

“Tutaamua siku ya Ijumaa nani atakuwa kipa. Tuna makipa wawili, mmoja ataanza na mwingine atakuwa wa akiba.” amesema meneja wa Chelsea.

Advertisements

2 Responses to Petr Cech nje kwa wiki nne

  1. I’m really enjoying the theme/design of your website. Do you ever run into any browser compatibility issues? A small number of my blog readers have complained about my site not operating correctly in Explorer but looks great in Opera. Do you have any suggestions to help fix this problem?

  2. Its my fantastic pleasure to visit your blog and to take pleasure in your wonderful posts right here. I like it quite a bit. I can truly feel you paid much consideration for anyone articles, as all of them make sense and therefore are very helpful.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: