Soka la Tanzania lina raha yake bwana…!!

Picha hii ambayo imesambaa mitandao jamii inaonyesha jamaa anayesadikiwa kuwa Sangoma akikatiza uwanjani wakati wa mtanange wa watani wa jadi hapo jana kati ya Simba na Yanga.

Advertisements

5 Responses to Soka la Tanzania lina raha yake bwana…!!

  1. Anonymous says:

    Jamani eeeh hebu tusidanganyane mchana kweupe hivi, hapa si Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, hapa ni CCM Kirumba! Aliyetuma post hii bila shaka hajui mechi ilichezewa wapi Jumapili.

  2. JOSEPH ANTHONY MUHASA says:

    NADHANI KAMA MECHI YA JANA LIGHT KAMA WANGELICHEZA HADI SAA 5 ZA USIKU HIYO TIMU ILIYOSHINDWA INGESHINDA, ILA PO_OOOLEN.

  3. ..”Kwakuwa nawapenda waskaji zangu hebu cheki hapa http://www.mc.wen.su kama kuna uwezekano mnicheki za kudownlod video hata filam wenu 0752283574

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: