Oga, Nawa ya Fabregas yamalizika

Atavaa Jezi Namba nne ambayo kwa Wachina ni namba ya “Mkosi”.

image

Baada ya vuta nikuvute “oga, nawa” ya muda mrefu jana Barcelona waliingia Mkataba na mchezaji Cesc Fabregas na kuingia mkataba wa miaka mitano (5) kwa jumla ya Euro €29m (£25.5m), ambazo zitalipwa na Barcelona katika mikupuo miwili, kujumlisha Euro €5m (£4.4m) in bonuses dependent on the club’s success) na nyingine Euro  €5m zitalipwa na yeye Fabregas kutoka kwenye mshahara wake kwenda Arsenal ambapo Euro €1m kwa kila mwaka kwenye mkataba wake wa miaka mitano.

Akiongea mara baada ya kusaini mkataba huo Fabregas alisema “imechukua miaka, miezi, siku na mpaka sasa nimefika hapa… Nimefurahi kurudi nyumbani baada ya miaka nane” alisema nahodha huyo wa zamani wa Arsenal alipokuwa kwenye uwanja wa Camp Nou jijini Catalan akitambulishwa kwa mashabiki wa Mabingwa hao wa Ulaya.

Fabregas amepewa jezi namba 4. na mara aliposimama kupiga picha aliibusu beji ya Barcelona kwenye jezi yake mpya.

Hili ni pigo kwa biashara ya jezi kwenye nchi za Asia hasa China ambapo kwao wao namba nne ni namba ya mkosi, Wachina hawavai namba nne wala hakuna namba nne kwenye lift zao wala alama za Barabarani mara nyingi wamekuwa wakiitambulisha kama 3A inamaana itakuwa 1,2,3,3A,5 nakuendelea.

Kwa uzoefu wangu wa miaka mitano barani Asia, Timu hizi zimekuwa zikifanya biashara sana huko Asia ambapo ushabiki wa mpira unakuwa kwa kasi na kutokana na hali ya uchumi kuimarika kwa nchi nyingi za huko biashara ya Jezi orijino imeshika kasi ila kwa jezi ya Cesc ilitegemewa kuuzwa kwa wingi itauzwa ikiwa na jina tu na bila namba kwa wengine wenye imani zao hata jina hilo linaonekana kuwakilisha namba hiyo pia, hivyo hawatovaa kabisa.

Isome namba 4 zaidi Hapa Chini

 

Main article: Tetraphobia

Number 4 (四; accounting 肆; pinyin ) is considered an unlucky number in Chinese because it is nearly homophonous to the word “death” (死 pinyin ). Due to that, many numbered product lines skip the “4”: e.g. Nokia cell phones (there is no series beginning with a 4),[6] Palm[citation needed] PDAs, Canon PowerShot G‘s series (after G3 goes G5), etc. In East Asia, some buildings do not have a 4th floor. (Compare with the Western practice of some buildings not having a 13th floor because 13 is considered unlucky.) In Hong Kong, some high-rise residential buildings literally miss all floor numbers with “4”, e.g. 4, 14, 24, 34 and all 40–49 floors, in addition to not having a 13th floor. As a result, a building whose highest floor is number 50 may actually have only 35 physical floors.

Number 14 is considered to be one of the unluckiest numbers. Although 14 is usually said in Mandarin as 十四 “shí sì,” which sounds like 十死 “ten die”, it can also be said as 一四 “yī sì” or 么四 “yāo sì”, literally “one four”. Thus, 14 can also be said as “yāo sì,” literally “one four,” but it also sounds like “want to die” (要死 pinyin yào sǐ). In Cantonese, 14 sounds like “sap6 sei3“, which sounds like “sat6 sei2” meaning “certainly die” (實死). Not all Chinese people consider it to be an unlucky number as the pronunciation differs among the various dialects. In Chiu Chow, 4 is pronounced as “see” or “yes”. It is seen to be a lucky number because Chinese people like things in pairs (four would equal two pairs).

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: