MSANII JOSE CHAMELEON ABADILI DINI NA KUWA MUISLAM

msanii kutoka Uganda Joseph Mayanja aka Jose Chameleone ameamua kubadili dini na kuwa muislam katika msikiti wa kibuli, ijumaa  ya August 12,2011.

Chameleone alifuatana na member toka Eagles Production, Haruna Mubiru na Grace Sekamate,na baada ya kuingia kwenye dini ya Kiislam ametaka atambuliwe kama Gadhaffi Chameleone na si Jose Chameleone kama alivyojulikana awali na baadaye alisali sala ya Ijumaa na waumini wengine
Uamuzi huo wa Chameleon ambaye alikua ni muumini wa dini ya Kikristo,dhehebu la Roman Catholic ambaye alimuoa Atim Daniella pande za Mbuya Catholic Church miaka michache iliyopita…Umewashangaza fans wake wengi huku wakifunguka ni kama mchezo wa kuigiza flani hivi na anatarajiwa kuzindua album yake September 2,2011

GHADAFFI CHAMELEONE…AKIONDOKA MSIKITINI

picha na chiniyacarpet.blogspot.com

Advertisements

One Response to MSANII JOSE CHAMELEON ABADILI DINI NA KUWA MUISLAM

  1. jokim mathayo says:

    umaarufu huu babu.nc job c mbaya unapoamua kuongeza umaarufu kwa walio wanyonge.lakini kweli haidihakawi! Inatafutwa kwa unyenyekevu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: