Kinda wa miaka 7 Asaini “Kuichezea Real Madrid”.

Leonel Angel Coira signed to club’s youth academy

By MARK WALSH, Associated Press

imageAna umri wa miaka Saba tuu (7) lakini tayari anamkataba na moja ya timu kubwa sana Duniani ya Real Madrid. Kitaa wanamuita mtoto huyu Lionel Messi jina lake halisi ni Leonel Angel Coira. Maofisa wa Klabu ya Real Madrid wamesema kuwa wamemchukua mtoto huyo raia wa Argentina na atajiunga na Academy yao ya watoto hapo September 6.

Wadadisi wa mambo ya soka wanamtabiria mtoto huyu kufuata nyayo za Messi ambaye alijiunga na Barcelona akiwa bado janki akitokea club ya Newell’s Old Boys ambaye aliendelea mpaka kuwa mchezaji bora wa dunia. “Ndoto zangu ni kuwa kama Messi na nicheze kikosi cha kwanza cha MAdrid na timu ya Taifa ya Argentina kwenye kombe la duania alisema kijana huyo alipohijiwa na gazeti la ABC la Spain.

Gonga hapa kusoma zaidi.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: