Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars

286537_178821918855021_142177635852783_456929_1846289_o

Kwa mara nyingine tena Msechu ameingia Top three ya Tusker All Stars akiwa pamoja na Davis na Alpha kama ilivyokuwa kwa mwaka jana. Msechu amejihakikishia nafasi hiyo kutokana na uwezo alionao wa kulishambiulia jukwaa huku akiwachezesha mashabiki wake.

Wengi wa waliochangia kwenye ukurasa wa Facebook wa Tusker Lager wameonyeshwa kumkubali Msechu huku Alpha akionyesha upinzani wa karibu jambo linalotufanya tuongeze jitihada za kumpigia kura ili walao safari hii ashinde.

Msechu amefanikiwa kufikia nafasi hiyo na kumpiku Mtanzania mwingine Hemedy ambaye alikuwa akitamba na Swaga yake ya Mwamvuli. “Hemedy ameponzwa na over confidence “ alisema shabiki mmoja. Mdau mwingine Aleen alisema “ Am just happy for Msechu but the rest surely!!!! U mean there’s no girl…u must be kidding me!” akionyesha kutoridhishwa na kutokuwepo mdada hata mmoja kwani wengi walimfagilia Amelina.

10 Responses to Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars

 1. Alice Charles says:

  Uchaguzi ni mzuri. Ila mbona naona huyu mdada anaimba kuliko baadhi hata ya Hawa wakaka? Sijapenda. Hawatenda haki.

 2. Mdau UK says:

  Ni kweli Msechu na Alpha wangeenda na yule Dada aliyevaa gauni la Blue pia angeenda.

 3. Anonymous says:

  aliyeniudhi ni yule mjinga mjinga eti anawakilisha Tanzania kwa kutukana judges, hana maana kabisa. Nahisi hata kichefuchefu kutamka jina lake hadharani. Kuimba hujui, hata kukosolewa hutaki???????

 4. Appreciating the time and effort you put into your website and detailed information you present. It’s nice to come across a blog every once in a while that isn’t the same old rehashed material. Fantastic read! I’ve bookmarked your site and I’m adding your RSS feeds to my Google account.

 5. divorce Decree online

  Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars | Spoti na Starehe

 6. Any Free Pdf To Jpg Converter

  Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars | Spoti na Starehe

 7. judi dadu says:

  judi dadu

  Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars | Spoti na Starehe

 8. slot jackpot online

  Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars | Spoti na Starehe

 9. http://www.cahwf.org‘s website

  Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars | Spoti na Starehe

 10. Mixcloud.Com says:

  Mixcloud.Com

  Msechu, Davis na Alpha waingia TOP 3 ya Tusker All Stars | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: