Hemedy amchana IAN Live…!!!!

289692_179778088759404_142177635852783_459373_3148363_o

Muwakilishi wa Tanzania katika shindano la Tusker All Stars Hemedy usiku huu alimchana mbaya mmoja wa ma jaji wa shindano hilo anayeogopwa Ian pale alipopewa nafasi ya kutoa mawazo yake kuhusiana na comment za jaji huyo hemedi akasema “Kwanza Ian your not hot like me, Second You dont have any Single yeyote or Movie so you better leave me alone, Third your just Mmbeya tuu, and lastly go and work as a shamba boy”.

ingawa watu walicheka lakini kitendo cha Hemedy hakikuwa cha kiungwana kwani mashabiki kupitia ukurasa wa Tusker All Stars wa Facebook walikilaani sana kitendo cha Hemedy na matokeo yake kumfagilia mshiriki mwingine Msechu ambao kwa pamoja wanapewa nafasi ya kufika mbali kwenye shindano hili. “

Hemed ur disappointment…how cud u talk to ian like ur fellow…that nt tanzanian…am proud of msechu…relax…! alisema Shabiki mmoja

One Response to Hemedy amchana IAN Live…!!!!

  1. ally rashid says:

    mambo vipi mimi napenda kuzungumzia

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: