Twende mbele turudi nyuma Koffi anajua bwana…!

Sikumoja nilikuwa naongea na Swaiba wangu Magambo Philipo Le Big Producer nikamwambia pamoja na ushabiki wangu woooote kwa JB Mpiana, Koffi Olomide mimi namheshimu sana, hasa kikubwa ni jinsi alivyotulia katika kuandaa muziki wake.

Inasemekana jamaa anatumia pesa nyingi sana katika kuandaa Video zake na hili ndio linamfanya Video zake ziwe na ubora wa hali ya juu kuanzia mavazi, location na shooting hadi editing yenyewe.

Hiki ni kipande toka kwenye wimbo wake maarufu wa Cle Boa, Ingawa hizi ni nyimbpo mbili zimeunganishwa  lakini hebu angalia na ulinganishe na yale ninayoyasema mimi. Ijumaa Karim kwa maswahiba wote wa Blog ya Spoti na Starehe.

Advertisements

2 Responses to Twende mbele turudi nyuma Koffi anajua bwana…!

  1. dora says:

    Hata mimi namkubali sana Koffi. Wimbo umenikumbusha mbali sana….
    Kuna video naitafuta bila mafanikio, ni ya “Kidekule”, please kama unaweza kuiweka hapa nitashukuru sana.

  2. Raynes says:

    Swahiba, umenikumbusha mbali sana na huu wimbo, huyu jamaa huwa nampenda kuliko wanamuziki wote barani afrika. yaani we acha tu uko juu swahiba

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: