Rooney asikitishwa na machafuko

image

hii ndio Status ya Wayne Rooney akionyesha kukerwa kwake na machafuko yaliyojiri kwenye baadhi ya miji ya Uingereza hivi karibuni.

Maofisa wa Ligi kuu ya Uingereza wamesema kuwa wanaangalia na kushauriana na vyombo vya usalama kuona kama ratiba ya ligi hiyo itaendelea kama ilivyopangwa kufuatia vurugu hizo.

Ghasia zimekuwa zikiendelea sehemu mbalimbali nchini Uingereza tangu siku ya Jumamosi, hali inayowafanya askari polisi wawe na kazi nyingi zaidi.

Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Premier League imesema: “Tupo katika mazungumzo na vilabu vya London, polisi na mamlaka nyingine zinazohusika.

“Taarifa zaidi zitatolewa baada ya kutathmini hali ilivyo katika mkutano wa Alhamisi.”

Kuna ratiba ya mechi tatu za Ligi Kuu ya England zitakazochezwa siku ya Jumamosi: Tottenham v Everton, Fulham v Aston Villa na QPR v Bolton.

Advertisements

One Response to Rooney asikitishwa na machafuko

  1. Kreuzfahrten says:

    Thank god some bloggers can still write. Thank you for this piece of writing!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: