Hatimaye Fabregas anaondoka Arsenal

image

Fabregas and Nasri waliifunga jumla ya mabao 24 kwa msimu wa mwaka jana.

Hatimaye ile hatihati ya klabu ya Arsenal kumkosa mchezaji tegemezi Cesc Fabregas sasa unaendea kikomo kwa habari ambazo zinasemwa ni za uhakika kuwa kijana huyu ataungana na klabu ya Barcelona jijini Catalan na mkataba kishika uchumba cha Paund zaidi ya 35 Milion ambayo waliitaka Arsenal.

Awali Klabu ya Arsernal ilikataa ofa ya Pound £30.7million karibu Euro 35 Million toka kwa wakali hao wa Catalan.

FAbregas mwenye miaka 24 alikuwa anaripotiwa kuondoka Arsenal tangu mambo ya usajili yalipoanza na mara kwa mara hata wachezaji wenzie walikuwa wakikanusha lakini kwa sasa habari zinasema kijana anaondoka.

Hili ni pigo kwa mashabiki wa klabu hiyo ambayo pia inasemwa iko mbioni kumpoteza kijana mwingine Samir Nasri ambaye anasemwa kutakwa na klabu ya Man City. Klabu ya Man City iko mbioni kutoa kitika kati ya Pound 22 Million na 24 Million kwa ajili ya uhamisho huo na habari zinasema tayari pande hizo mbili zinamalizia mazungumzo.

 

CESC FABREGAS

Personal information

Full name : Francesc Fàbregas i Soler

Date of birth : 4 May 1987 (age 23)

Place of birth : Vilassar de Mar, Spain

Height : 1.75 m (5 ft 9 in)

Playing position : Midfielder

Club information

Current club : Arsenal

Number : 4

Youth career

Year                       club

?–1997                 Mataró

1997–2003            Barcelona

2003                     Arsenal 

Senior career

Years                     Team Apps (Gls)

2003–                    Arsenal                   210                          (35) 

National team

Years                     Team Apps (Gls)

2002–2003           Spain U16               8                              (1)

2003–2004           Spain U17               14                            (7)

2005                     Spain U20               5                              (0)

2004–2005           Spain U21               11                            (2)

2006–                   Spain                       58                            (6)

2004–                   Catalonia                 1                              (0)

Source : Online Sports News

Advertisements

3 Responses to Hatimaye Fabregas anaondoka Arsenal

  1. All round well thought out blog

  2. You are exactly right on this piece!!!

  3. I could not agree with you more..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: