Ajuza wa miaka 98 apata daraja la juu kabisa la Mkanda mweusi kwenye Judo (Dan).

image

Akiwa amebakiza miaka miwili kufikisha miaka 100, Kikongwe wa maiaka 98 Sensei Keiko Fukuda amekuwa mwanamke wa kwanza kupata Degree ya juu kabisa ya mkanda mweusi wa Judo (a tenth-degree black belt). Hii ndio ngazi ya juu kabisa kwenye mchezo huu. Kwa mkanda huo ajuza huyu anafanya idadi ya watu wanne tu ambao wanaishi mpaka sasa kwa kuwa na daraja hilo linalojulikana kama Dan Black Belt. Fukudo anaishi huko San Francisco.

Na kwa taarifa yako tu ndugu msomaji ni wakufunzi 16 tu ambao mpaka sasa wameshafanikiwa kufikia daraja hilo la juu kabisa kwenye mchezo huu wa Judo.

“Kila nilichokifanya kilihusiana na Judo, hii ilikuwa ni ndoa yangu, na nilitamani kufikia hapa, siwezi kusema ni kwa kiasi gani safari yangu ya kufikia mafanikio haya ilikuwa ndefu…” alidokeza Fukuda.

3 Responses to Ajuza wa miaka 98 apata daraja la juu kabisa la Mkanda mweusi kwenye Judo (Dan).

  1. What an all ’round great article

  2. At least some bloggers can still write. Thank you for this writing!

  3. list tables says:

    After looking over a number of the blog posts on your blog, I seriously like your way of blogging. Thank you for writing this great write up. I hate that my computer battery is about dead. Some nice points there.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: