Kama Ipo na Profesa Jay

Nidhamu ya Kazi, Kujituma na kuheshimu mashabiki ndio siri ya mafanikio yangu, hayo yalikuwa maneno ya prof Jay nilipoongea naye karibuni hasa kutaka kudadisi nini kinampelekee kuwa bado kwenye game mpaka wa leo, kwani ukilinganisha na game hii ya Bongo Flava ilipoanzia ni magwiji wachache sana ambao wameendelea kubaki na heshima zao tangu enzi hizo mpaka leo.

Na kwa wale walioendekeza rap katuni, kutoheshimu hisia za mashabiki na kudhani wao wanajua basi hawajulikani walipo kwa sasa.

Nimeanza na maneno hayo kwa kutaka kuongelea kuhusu Prof Jay ambaye kwa siku za karibuni amerudi kuwa Jay yule ambaye akikosa kwenye Tamasha mashabiki wanaona kuna kitu wana miss.

Hii ni moja ya nyimbo ambazo ziko kwenye albamu yake inayokuja kwa jina la Jayscodagama (tutaongelea mantiki ya theme hii). Wimbo ume[pikwa na Lamar na Video hii imefanywa na bingwa wa Video za Bongo Adam Juma kwa kweli anagalia mageuzi makubwa kwenye utengenezaji wa Video za Muziki hapa nchini inatia raha kwa kweli.

Kwa ujumbe angalia na msikilize Profesa mwenyewe.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: