Harusi ya kihistoria yenye majonzi makubwa.

image

Arin Safadi 24) ni raia wa Golan Height (mji unaokaliwa na Israel) ambaye alichumbiwa na kutarajiwa kuolewa na mchumba wake Arin Safadi (24) toka mji wa Sysria. Story yao inasikitisha ingawa ni mwanzo wa maisha kwao wote. kutokana na nchi hizo mbili kutokuwa na uhusiano mzuri wala wa Kibalozi, safari za Binti kwenda kuishi Syria inakuwa ni chungu kwa upande wa familia ya Binti kwani hawawezi kumuona tena, kwani hatoruhusiwa kurejea nchini kwake na kusisitiza hilo inabidi asaini makaratasi mpakani kabla ya kuvuka.

Tukio hili lina zaidi ya mwaka mmoja na limepelekea kampuni kubwa ya utengenezaji wa sinema kuamua kuintengenezea sinema baada ya kuvuta hisia za watu wengi pale picha hizi zilipochapishwa kwenye magazeti kwa mara ya kwanza.

Gonga hapa upate story nzima kwa picha toka kwa mpiga picha wa AP Dan Balilty.

Israeli-Druze bride Arin Safadi, 24, departs through the United Nations buffer zone at the Quneitra crossing in the Golan Heights, to marry a Syrian-Druze groom on Septemper 25, 2008. Once she crosses into Syria, the bride is not allowed to return to Israel.

Bride Arin Safadi hugs a relative as she leaves her family home on September 25, 2008 in her village of Ein Qiniya in the Golan Heights, the strategic plateau that Israel captured from Syria in the 1967 Six Day War.

Arin Safadi is kissed by a relative as she leaves her family home to be married in Syria on September 25, 2008.

Arin Safadi prepares to cross the Israeli-Syrian border of Kuneitra on September 25, 2008 after leaving her family home.

Friends and relatives of Israeli-Druze bride Arin Safadi react during her departure to marry a Syrian-Druze groom, through the United Nations buffer zone at the Quneitra crossing in the Golan Heights.

United Nations border guards stand at the Syrian-Israeli border into Quneitra, where Druze bride Arin Safadi crossed into Syria on September 25, 2008.

Arin Safadi waves as she crosses the Israeli-Syrian border of Kuneitra.

A Druze relative of Arin Safadi cries at the Kuneitra border crossing between Israel and Syrian on September 25, 2008.

Arin Safadi crosses the Syrian-Israeli check point with her husband, Rabia Safadi (on her right), on September 25, 2008.

Arin Safadi wipes her tears as she joins her groom in a waiting car on September 25, 2008 after crossing the Israeli-Syrian border.

Advertisements

34 Responses to Harusi ya kihistoria yenye majonzi makubwa.

 1. Anonymous says:

  too sad jamani! uwiiii… mapenzi haya, kwa hakika ni kizunguzungu

 2. flower says:

  Dah hii inasikitisha sana hadi machozi yananitoka,kweli haya mapenzi haya!!

 3. Anonymous says:

  sasa why did she agree to be married? bora mume au ndugu?

 4. Elizabeth says:

  Mapenzi jamani, acha 2!!. Lily love

 5. evelyn says:

  that’s really love maan!

 6. Anna George Kizuguto says:

  It’s pain, but love it’s have power than anything in the
  world.

 7. frank bwoma says:

  it is tha gu lesson2all people but it pains

 8. nyeburu one says:

  inasikitisha sana, lakini anaweza kuonana na ndugu kama yeye na mume wake wataenda kuishi nchi nyingine kama UK, baade wachukue uraia then wanaruhusiwa kuingia Israel.

 9. Anonymous says:

  ooh its real sad, I agree love is POWERFUL

 10. Janeth Kalist says:

  Inasikitisha sana kwakweli, ningekuwa mimi nahisi ningengeuzia boarde kurudi kwetu. Huyu dada ana roho ngumu sana.

 11. Anonymous says:

  Inasikitisha sana kwakweli, ningekuwa mimi nahisi ningengeuzia boarde kurudi kwetu. Huyu dada ana roho ngumu sana

 12. janeth thabit says:

  inauma mana hata ukisikia mama au baba au ndugu yako yupo mahututi au wamefariki uwezi kuatend.ingekuwa mimi ningevunja na uchumba.

 13. Nece says:

  lol haya mapenz! sijui nisemeje? dada ameamua kuacha ndugu zake because of wat wi cal lov! oh my God

 14. francisca lwala says:

  jamani kwa kweli mapenzi ni ujinga wa roho hii ndoa itakuwa ina baraka kweli?

 15. Anonymous says:

  dat z true lov…

 16. Kokusima says:

  ama kweli haya mapenzi ni taabu, sasa walikutanaje jamani? afu ufike huko mwanamme akunyanyase du! ndo utajuta ila palipo na mapenzi hapanaga mawazo. nimeamini kweli kuna kupenda nilikuwa naona kwa mme wangu ila huku du!

 17. SEMA ADILI says:

  dat z crazy love!!! to liv u’r relativez 4rever!!! 4me mmmmmmm!!! nooo…..hapana

 18. flavy says:

  ooooh…. jamaan, inauma sana kiukweli nimefil hadi machoz yamenitoka,.. dat z TRUE LOVE!!!!mmmmmmm idada de kumgama uwiiiiii (kihehe msisitizo)

 19. Grace Jengo says:

  UWIII JAMANI HATA MIMI INANIUMA UWII,EEH MUNGU WASADIE WAWEZE KUONANA NA NDUGU ZAO TENA..

 20. sam says:

  mh jaman mapenzi kweli ni upofu

 21. vumi says:

  namuonea huruma dada yangu pamoja na familia yake

 22. nemmy says:

  weeeeeeeeeeeeeeeee acha2 ukpenda unakua kipof u knw wat maisha ya kuishi na wazaz mwisho ni maika 24 kwa wabongo bt maisha ya mke na mme ni ya milele ata ivyo ndugu ad wazaz awawezkupa yote km mme au mke so nampa hongera sn na kumwombea

 23. Anonymous says:

  Nemmy ukipenda lazima pia uwe na macho ya ziada na akili ya kutarakari faida na hasara ya upendo kama huo. Inawezekana dada huyu alikuwa amechoka kukaa nyumbani. Lakini kitu cha kushangaza hawa walionana wapi mpaka wakaamua kuoana?

 24. Mathias says:

  Nemmy ukipenda lazima pia uwe na macho ya ziada na akili ya kutarakari faida na hasara ya upendo kama huo. Inawezekana dada huyu alikuwa amechoka kukaa nyumbani. Lakini kitu cha kushangaza hawa walionana wapi mpaka wakaamua kuoana?

 25. Digna says:

  Dah……..I real appreciate that kind of love. Hapo inabidi mume ampende kwelikweli otherwise?

 26. pole dada huo ndio ukubwa na mungu awe na nyinyi !

 27. Anonymous says:

  jaman nchi isiruhusu wanafunzi wa kike kusoma huko n aibu kwa taifa

 28. Anonymous says:

  Du hii ni khatari mi apana wazazi wangu siwezi kuwaacha kisa mwanaume wanaume wenyewe ni shida tupu

 29. Anonymous says:

  Bora ndugu

 30. Its my wonderful pleasure to go to your blog and to love your good posts here. I like it lots. I can feel you paid substantially focus for all those articles, as all of them make sense and are really valuable.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: