WERRASON PLANETE SONO BEACH MAYI A PEMBE

Fikiria ingekuwaje kama Wazaire wangekuwa na Beach kama ya Coco au South Ceach au Kijiji Beach Kigamboni bata lake lingekuwaje?

Hii ni show ya Werasson ya Planet Sono Beach nimepata DVD yake asante sana Papaa jully Weston Presidaa Bana Congoo Daresalaame, Nimeipenda sana hii Live ya WMMM kama kawaida ninapotaka kuangalia Sebene na si kusikiliza nyimbo huwa namuangalia Werrason.

Kilichonivutia zaidi ni ile Djodjo Ngonda live kwa kweli imekumbusha sana enzi zile za Wenge BCBG, pale Heritier, Capuccino na Miel walivyokuwa wakiimba na kunogesha shughuli nzima.

Vyombo humo vilipigwa vyema na kiufasaha kama walivyokuwa wataalamu wenyewe Allain Prince Makaba kwa Solo, Fi-carre na Bukina Faso Kasongo kwenye Rhythim na Bass.

Ukiangalia vizuri utaona hawa vijana wanambeba sana Werrason na kwa sasa wanawashika mashabiki si kwa kuimba tuu bali hata cheza yao si mchezo.

Advertisements

2 Responses to WERRASON PLANETE SONO BEACH MAYI A PEMBE

  1. Farid wa Muscat says:

    olobaka ya solo papaa Pius

  2. Hadj Le Jbnique says:

    Sebene la werra kiboko,namsikia makaba junior hapo,dogo yuko juu,Congo raha kila mahali kaka,muziki unapigwa ndani ya Boat,watu wanaamua kuondoka mjini na kwenda kula raha ndani ya maji,katikati ya kina kirefu,check mfano hapo chini…..kitu cha Liberee live ndani ya boti..Huko bongo mambo haya yanaweza kufanyika pia…

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: