Mbwembwe za kufunga kwa Kisigino zamgharimu Balotelli.

Mchezaji wa Manchester City Mario Balotelli alitolewa nje katika kipindi cha kwanza katika mechi yao dhidi ya LA Galaxy kwa kutoonyesha heshima kwa wapinzani wake.

Mshambulizi huyo wa Italia mwenye umri wa miaka 20 alikuwa karibu kufunga goli,lakini hakufunga na badala yake akapiga mpira kwa kisigino na kukosa kufunga.

image

Kocha wa Manchester City Roberto Mancini alimpumzisha Balotelli kutokana na tukio hilo lakini wakati akitoka nje ya uwanja akajibizana na kocha wake.

Awali Balotelli alifunga bao kupitia mkwaju wa penalti katika mechi hio ya kirafiki ilomalizika kwa sare ya 1-1.

Man City Imepata ushindi wake wa tatu katika mechi zake za kujiandaa kwa msimu wa ligi kuu ya England.Katika uwanja huo mashabiki wa LA Galaxy walimzomea Balotteli kwa kitendo chake hicho.

Hii si mara ya kwanza kwa mchezaji huyo wa zamani wa Inter kujikuta katika matatizo na Kocha Mancini, ambaye pia alikuwa kocha wake nchini Italia.

Advertisements

3 Responses to Mbwembwe za kufunga kwa Kisigino zamgharimu Balotelli.

 1. Twaha says:

  balotel kafanya dharau,ni haki kuchukuliwa atua

 2. noi that says:

  noi that…

  […]Mbwembwe za kufunga kwa Kisigino zamgharimu Balotelli. « Spoti na Starehe[…]…

 3. Anonymous says:

  barotell mkewake

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: