Ajali ya Moto Kigamboni Ferry

IMAG0019

IMAG0020

IMAG0021-1

IMAG0024

IMAG0023

Ajali hii ya Moto ilitokea siku ya Jumapili mchana pale Kigamboni Ferry baada ya gari hii kupata hitilafu kwenye mfumo wa umeme. Kilichonisikitisha ni kitendo cha wamiliki wa Petrol Station iliyokuwa mita kama 20 tu toka ilipotokea ajali hii ya moto kuwanyima vifaa vya kuzimia moto hawa mabwana mpaka gari hii ikateketea kabisa. Hakikuwa cha kiungwana hata kidogo.

Huwa tunahimizwa kuweka Fire Extinguishers kwenye magari na wengi wetu hupuuza, kama hata wamiliki hawa wangekuwa na Fire Extinguisher janga hili wangelikabili, lakini cha ajabu karibu gari ishirini zilizokuwa karibu hawakuwa na Fire Extinguishers , mungu mkubwa hakuna aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa.

Advertisements

One Response to Ajali ya Moto Kigamboni Ferry

  1. Partiac App says:

    You really should be writing for a living. I found your website by chance. Your insights are really well formed. Thank you a lot for sharing this.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: