Taifa Stars kukipiga Palestina, Jordan.

image

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) itakuwa na ziara ya mechi mbili nje ya nchi. Stars itacheza mechi ya kwanza Agosti 10 mwaka huu mjini Ramallah, Palestina dhidi ya timu ya Taifa ya nchi hiyo. Stars ambayo inatarajia kuondoka Agosti 7 mwaka huu kwa ajili ya ziara ya mechi hizo mbili, itacheza mechi ya pili Agosti 13 mwaka huu dhidi ya Jordan katika Jiji la Aman. Kocha Mkuu wa Stars, Jan Poulsen ambaye hivi sasa yuko likizo kwao Denmark anatarajia kutangaza kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya mechi hizo mara baada ya kurejea nchini mapema mwezi ujao.

Advertisements

One Response to Taifa Stars kukipiga Palestina, Jordan.

  1. Farridy says:

    kaka sijui kwa nini tunakuwa tunacheza na timu zilizo chini katika chat za FIFA na viwango vidogo, hii haituongezei ujuzi wala kupanda katika rank za FIFA na kama tukifungwa tutashuka sana

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: