Bitusi “Le Grand Paa” Alipofunga pingu za Maisha

July 12, 2011

Mdau wetu Bitusi aka B2C Muzee wa Tabata baada ya kufunga pingu za maisha na Bi Jungi katika kanisa la St Peter na baade Tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City. Sherehe hiyo ilipambwa na burudani nyingi ikiwemo Band ya Twanga Pepeta na kuhudhuriwa na wadau wengi wakiwemo wasanii wa Bongo Movie.

Waaalikwa

Bendi ya Twanga Pepeta wakitoa burudani

Steve Nyerere akimpa mkono Bwana Harusi

Bongo Movie walipotambulishwa ndani ya ukumbi.

 

Kanumba akiwa na Wadau ndani ya ukumbi

Kikundi cha ngoma ya asili kutoka bukoba kikisherehesha

Bw na Bi Harusi wakiwa mbele kusalimia watu

Mwenyekiti wa kamati akisema chochote mbele ya waalikwa

Gadner Habash na Jokate Mwegelo ndio walikuwa Mc wa siku hiyo, Spoti Starehe inaungana na wadau wengine wa Burudani kukupongeza Mukubwa Bitus na kukutakia Maisha marefu kwenye ndoa yenu.

Picha zote kwa hisani ya mdau Ray The Greatest

Advertisements

%d bloggers like this: