Pole mdau….Hiyo ndio YANGA….ukiona manyoya jua mnyama kaliwa

image

Mdau na mnazi wa Simba Mudy Wandy akiwa uwanjani akishuhudia mnyama alivyochemka kuitafuna kandambili, Hii ilikuwa kipindi cha kwanza kabla ya matokeo na mashabiki wa Simba kama kawaida walikuwa na matumaini makubwa Simba ingeshinda.

Mpaka mwisho Yanga 1-0 Simba.

Poleni sana wadau wa Simba, Muddy Wandy, Mngoya, Alhaj Hakam, Robert Mwafrika, Uncle Dee, Dulla aka Asumani na wenzenu wooote ndio mpira na moto wa jangwani hauzimiki. teh teh teh teh!!

image

Picha hii ilipigwa na rafiki yangu Bakari Machumu ikionyesha uzalendo kwa watani wa jadi na kumaanisha kuwa mpira si ugomvi!!

Advertisements

8 Responses to Pole mdau….Hiyo ndio YANGA….ukiona manyoya jua mnyama kaliwa

 1. Wandi says:

  Tumekubali kaka,tungoje tar 13 aug

 2. Wandi says:

  Kaka kaisikie new release ya patcho mwamba ndoa ya kisasa wameitoa tar 09 july makumbusho ni noumer pia nyoshi kamwaga otilia,c mchezo last wkend nilikuwa na mngoya ngwasuma soo

 3. Anonymous says:

  yanga oyeeee wanajua wazee wa kazii!hongeraaa kwa ushindi wapenzi wote wa young african

 4. Hadj Le Jbnique says:

  bakari machumu ni yule yule beka mhariri wa pale mwananchi au mwingine,maana najua yule yanga kufa mtu,sijui kama ni yeye maana sie wengine tuko mbali…..kidogo

 5. DAIMA YANGA JUU, MNYAMA AISHIE HUKO HUKO MSIMBAZI, WERAA..!!

 6. My Earles says:

  I surely get pleasure from every tiny little bit of it and I’ve you bookmarked to test out new stuff of your website a have to read site!

 7. Outstanding post however I was wondering if you could write a litte more on this subject? I’d be very thankful if you could elaborate a little bit further. Kudos!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: