CHERIE ENVELEE, Utunzi wa Djino wa BCBG ndani ya SOYONS SERIEUX na Dadaamtu akaufanyia Remix..!

Nani zaidi Hapa?

Hapa leo tuna nyimbo ambayo ukiisikiliza vizuri utagundua ni moja iitwayo CHERIE ENVELEE lakini imeimbwa mara mbili na watu wawili tofauti tena wa familia moja yaani kaka na dada,vijana wenyeji wa kisangani,hawa ni mwanamuziki wa Wenge Bcbg Djino na dadake.

Wimbo huu mara ya kwanza Djino aliurekodi na bcbg ukiwa ni moja ya nyimbo zilizomo kwenye album lao jipya la Sayons Serieux,dada yake Djino anaekwenda kwa jina la Claudia Bakisa amekuja kuurekodi upya Kama remix,je upi umetoka bomba?

Hii sasa ndio original version iliyoimbwa na Djino mwenyewe,mwana kisangani,huyu ndio anaongea kiswahili kwenye ile video ya jb tolingana kisangani kama mlisikia akisema sema pole pole ndio mwendo na watu wakalipuka, watu wa kisangani wanaongea zaidi kiswahili.

 

 

Na huu ni wa Dada mtu Claudia Bakisa

 

Sikiliza hizi sauti kisha uniambie version ipi ni bomba kwako, The Romantic wa Mapenzi Club mercy mingi papaa kwa hii, Papaa Julie Elystone Le Charismatique Leader, Presidaa wa Congolee ya Darisalama, Uko juu Papaa Salute!!! , hebu sema kidogo hapa.

Advertisements

3 Responses to CHERIE ENVELEE, Utunzi wa Djino wa BCBG ndani ya SOYONS SERIEUX na Dadaamtu akaufanyia Remix..!

  1. jully weston ilunga says:

    papa puis, le souverain leader papa cheri moto pamba ya leo ni kali sina cha kusema, remix ya claudia ni marudio ya arangement ya wenge bcbg ndo mahana ana taji kwanza jina la souverain leader jb mpiana aliompa kibali,kwa hiyo kaka ni kama chakula cha mchana kina pasha moto jioni mpishi ni yule yule.Jb MPIANA na KOFFI MOPAO wana sifuria special za kupikia rumba mwisho.

  2. Metwa says:

    Nakubaliana na Jully Weston ni balaaa hii

  3. Good evening, my brother invited me to go thru your post since it seemed very interesting. At start, I was not sure it was about vals or any of the famous milonga popular people, but then, by going thru it, I realised it was. I will continue reading these articles in the future, so again thanks for writing these for all us. Cheers! #tangoinlove #elementotango

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: