Hakuna Roho Kongwe..!

July 5, 2011

268112_2189831265854_1249264609_2634361_2014500_n

Advertisements

Werrason kwa Jukwaa balaaa

July 5, 2011

Chelsea kukipiga Malaysia July 21

July 5, 2011

DSC08305

Pichani mdau wako wa Spoti na Starehe nikiwa na Mh. Zungu tukifuatilia mechi baina ya Malaysia Kombaini na Chelsea iliyochezwa jijini Kuala Lumpur mwaka jana ambapo Chelsea walishinda 2-1, Chelsea huwa wanafanya ziara ya Asia kila mwaka ziara inayoratibiwa na kampuni ya Samsung, mwaka huu Chelsea wanatazamiwa kucheza na Malaysia Kombaini July 21 jijini Kuala Lumpur.


Happy Birthday Ambwene!

July 5, 2011

165522_477282804220_637239220_5827349_1530105_n

Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa mwanamuziki Ambwene Yesayah aka AY. Sijui anatimiza miaka mingapi lakini ni kaumri kahaja tuu natumai, Kijana kila la heri katika siku yako hii muhimu natumai utaisherehekea vyema huko uliko.

Happy Birthday mkurumbe, Kwa leo pia nampongeza rafiki yangu Ronald Mkanta wa Finaland kwa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pia wamo Anthony Mtaka Chiganga, Grace Nambuo, Mariana Petter Malley, na Rf Mbq. Happy Birthday guys.

Nawaacha na wimbo Songa mbele toka kwa Alpha akimshirikisha AY  nami nawaambia Songa mbele miaka iende…


Miss Ilala waingia kambini.

July 5, 2011

image

Washiriki wa Miss Ilala 2011 wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wao walipoanza kambi rasmi kwenye hotel ya Ramada hapo jana.


%d bloggers like this: