Wema apanda jukwaani kumpa tafu mpenziwe Diamond tamasha la Fiesta Morogoro.

Hapa Diamond akimwimbia mpezi wake Wema Sepetu huku akiwa amepiga magoti katika kuonyesha heshima kubwakwake kutrokana na sapoti anayompa katika kazi zake.

Wema Sepetu Mashalaah akiondoka jukwaani baada ya kufanya vitu vyake na kushangiliwa sana na mashabiki wa mpenzi wake ilikuwa bomba kwelikweli.

Picha na habari zote na Fullshangwe

8 Responses to Wema apanda jukwaani kumpa tafu mpenziwe Diamond tamasha la Fiesta Morogoro.

 1. Sissy HKM says:

  Khaaaaaa!

 2. Anonymous says:

  We Wema tunajua umzuri,mambo ya kuonyesha matako nje ni nini? Kumbuka unaishi kwa neema ya Mungu tu acha mambo ya kishetani hayo,utaishia pabaya usijione mjanja,palikuwa na wanawake wazuri watoto wa Nuhu tu.

 3. Anonymous says:

  mjiangalie kabla hamjavaa vinguo vya ajabu ona sasa matako yote nje

 4. sophy says:

  u r such a beautiful young lady wema, y do al that stupidity? live ur life, yes bt giv urself sm respect. u r lucky 2 b xo talented n beautiful use those attributes 2 mek the world a beter plac bcoz bliv me dadaa unawahuzunisha wengi hasa sisi wanawake wenzio. money, beauty na vyote ni vya kupita tu ucviruhuse vikutawale bali we ndo uvitawale. mi ni fan wako bt kusema za ukweli naona hata aibu kusema that. ts neva too l8 dadaa na hakuna kisichowezekana, plzzzzzzzzzzz badilika……..

 5. kupeana kampani si vibaya lakini mazngira ya kupeana kampan yanatakiwa yafikiriwe.sio mpango kabisa kuachia matako nje..

 6. Anonymous says:

  Mimi Ni Mshabiki Sana Wa Diamond Nilikuwa Nataka Kujua Kuwa Diamond Mpaka Sasa Ana Mpenzi Gani Naomba Jibu

 7. Diamond says:

  Mimi Ni Mshabiki Sana Wa Diamond Nilikuwa Nataka Kujua Kuwa Diamond Mpaka Sasa Ana Mpenzi Gani Naomba Jibu

 8. Pretty wonderful website and outstanding and articles.useful layout, as share great stuff with excellent ideas and concepts.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: