KP Wear, Nothing but Confidence…!!

image

image

image

image

image

image

image

Ni Duka la mavazi la KP Wear lililopo Millennium Tower linalomilikiwa na Masoud wa Kipanya, Na jambo zuri kwenu wote kwa sasa kila kitu kinafanywa hapo hapo dukani hata kama ukienda ukakosa size yako unawapa muda siku tatu tuu unapata Jeans yenye finishing za kimataifa.

Awali Kipanya alinidokeza kuwa walikuwa wakifanya Design hapa na kupeleka mashariki ya mbali kwa ajili ya kushonwa jambo ambalo walilirahisisha kwa kuwapa ujuzi mafundi wazalendo ambao kilichokuwa kikifanywa huko China na Vietnam sasa wanakifanya hapa kwani mbali na kuwapa utaalamu hao mafundi wao pia wamefunga mashine zenye ubora wa hali ya juu kuwezesha kazi zote kufanyika hapa hapa nchini.

Hii ilinivutia kufika dukani kwao na ku ili nijiridhishe ama kweli kazi zao zinavutia sana.

Kwa wanaume wanaojali ubora KP Wear panawahusu, nyote mnakaribishwa.

image

Advertisements

3 Responses to KP Wear, Nothing but Confidence…!!

  1. I am really enjoying the theme/design of your website. Do you ever run into any internet browser compatibility issues? A number of my blog audience have complained about my blog not operating correctly in Explorer but looks great in Safari. Do you have any recommendations to help fix this problem?

  2. numerous great info and inspiration, the two of which I need to have, due to present this kind of a useful details right here.

  3. Currently it seems like Drupal is the preferred blogging platform available right now. (from what I’ve read) Is that what you are using on your blog?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: