AMPLIFIER ya Milard Ayo Ana kwa Ana na Mheshimiwa Moe.

183959_179280238783826_100001055534219_433362_1543734_n 

Pichani ni Mh. Mohammed Dewji akibadilishana mawazo mara baada ya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha Amplifier Millard Ayo kinachorushwa na Radio CLOUDS FM kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 1:00 jioni mpaka 3:00 usiku. haya na mengineyo utayapata kwenye blog yake.

Advertisements

31 Responses to AMPLIFIER ya Milard Ayo Ana kwa Ana na Mheshimiwa Moe.

 1. hood says:

  kaka mungu akijaalia mwakan March/April nitahitaj gari Sprinter au Gx100 kwa ajili ya TAX isizid (CIF US 2000) kama tuwasiliane kaka +255714 959571.

 2. Anonymous says:

  Mambo vipi mwanangu maisha ni magumu sana lakini wagumu tunadumu sana,na hatutathubutu kunywa sumu kwa sana thus why yanatuchanganya ile kinoma.My advice we just workhard because we believ the life is puzzle na tufanye mkazo na tusifanye mchezo,hiyo ndo yetu nyenzo na sio mdekezo.It’s me your friend Musa Ally Kijumba from Ikwiriri Rufiji,I wish u better day,together for life mwana Inshalla

 3. kichere says:

  mzee amifaya inaendeleaje nimeimiss kinomaaaa

 4. kichere says:

  amrifaya inachana kiaje coz nimeimiss

 5. Anonymous says:

  pandishaa mlegeeee

 6. ole kimaki says:

  Kipindi hi cha Amplifier ni tamu kama mapenzi oh gosh…

 7. Alex audax says:

  Kanumba bye bye nasi twaja!

 8. You are doing the best Milardm
  Keep it up

 9. NOAH M/SUPA DRIVE says:

  KUNA WATU HUPENDA KUONGEA HATA WASIVYO NA UHAKIKA NAYO REKEBISHA MDOMO WAKO

 10. Anonymous says:

  du hyo kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

 11. Anonymous says:

  acheni hizo kila mtu ana uhuru wake

 12. tv says:

  Hmm it seems like your site ate my first comment (it was super long) so I
  guess I’ll just sum it up what I submitted and say, I’m thoroughly enjoying your blog.

  I too am an aspiring blog blogger but I’m still new to everything. Do you have any recommendations for newbie blog writers? I’d definitely appreciate it.

 13. Anonymous says:

  Kamua mwanangu unatisha milard

 14. PASCHAL JOSEPHAT says:

  kwa kweli we mkali wa watangazaji duniani kaka endeleza

 15. Anonymous says:

  Hiv ngwear kabsa, nmeamin kla m2 atakufa.

 16. MANDELA5 says:

  NDO NAJFUZA NDUG

 17. MANDELA5 says:

  KAKA MILARD KUNA TATZO NDUG? KPND KNATSHA KAMA ULE MCBA WA SHUJA NLSON MANDELA.KAZA BUT KAKA

 18. Neema says:

  Mwaka mpya kaka tunaisubiri ampri fayar kwaham

 19. Anonymous says:

  Kiukweli napenda unavyoji2ma,bgup my brother

 20. Anonymous says:

  Napenda utendaji wako wa kazi,kiukwel unastahili hongera

 21. Anonymous says:

  Mm binafsi ningependa mwanangu,awe km ww.daaa! Ningefurah sana

 22. Anonymous says:

  Mm binafsi ningependa mwanangu,awe km ww.daaa! Ningefurah sana by magreth kiweu,Manyara

 23. Anonymous says:

  Brother Unatishaji, Nakifagilia Kipindi Chako Cha Amplifer Ile Noma Big Up Kwako

 24. Anonymous says:

  milad ayo kaz nzur ongeza ujuzi hivyooooo gud sana tugeza y

 25. RUGE JOKA says:

  big up kaka millard unatisha.

 26. ZUBER FACK says:

  mungu naomba anijarie afya na maisha marefu ili nikamirishe my dream ya kua mfanyabiashara mkubwa hapa tz it’s me your friend zuber fack from turian moro

 27. Tatu Omary says:

  safi sana mkubwa. tuko pamoja.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: