Profesa Jay; Nimeanza Gym kukata “Kitambi”

257014_10150299347541495_762011494_9205085_5686846_o

256636_10150300189356495_762011494_9215086_3734220_o Mwanamuziki Joseph Haule aka Heavy Weight Mc, Prof Jay amekata shauri na kuamua kuingia Gym kwa ajili ya kupunguza uzito.

Jay aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wafacebook mapema leo, “Najua mwanzo mgumu ila naahidi kupigana mpaka nifikie malengo yangu” ilisema moja ya mistari ya status ya profesa.

Wazo hilo limeonyesha kuwakuna mashabiki wake wengi ambao wamempa moyo na hata mwanamuziki mwezie AY alimpa moyo akomaye kukata utuntufye. Naona Prof kaamua na anasema anahamu sana ya mazoezi “Yaani naiwaza GYM muda wote ni kama mtoto akinunuliwa Viatu vya sikukuu kila saa anavijaribisha, hata akilala anaviweka UVUNGUNI akilala kidogo Anavichungulia kama vipo!! hahah Kidumu cha cha wafanya Mazoezi..” aliendelea kusema.

life style inafanya watu wengi kuongezeka uzito na hii kwa maisha ya mjini inachangiwa na vitu vingi ikiwemo kutumia magari binafsi, Taxi, Usafiri wa Umma na hata tabia ya kula kula (junk food) ikiwamo Chipsi, Burger na unywaji wa Bia vinachangia kwa kiasi kikubwa unenepaji usiokuwa na mpango.

Inawezekana kitendo cha profesa kuweka wazi hili kukahamasisha na watu wengine nikiwamo mimi kuanza mazoezi ili kuepukana na hali hii. Hongera profesa mwanzo mgumu komaa utashinda.

2 Responses to Profesa Jay; Nimeanza Gym kukata “Kitambi”

  1. Farid wa Muscat says:

    hata mimi mwenyewe nadhani nimemtangulia kwa kidogo na mazoezi maana kitambi si utani kinakera sana na kukitoa ni tabu sana ila inataka moyo

  2. nelson says:

    ni good idea.azin bila zoezi unarisk. boss ukojuu sana,nahuu ndio uamuzi wa wazito.big up 2 xana.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: