FFU wa Ngoma Africa band jukwaan Jumapili 26.06.2011 Freudenstadt City, nchini Ujerumani

DSC_0312

Bendi ya maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa band” aka FFU yenye makao

yake nchini ujerumani,inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi 26.06.2011 katika onyesho kambambe mjini

Heidelberg,ujerumani.Pia siku ya jumapili 26.06.2011 Kikosi kazi hiko cha FFU wa Ngoma Africa band,kitaelekeza

mashambulizi yake ya mziki katika oynesho lingine “Afrika Tage” mjini Freudenstadt,kusini mwa Ujerumani ambako

mshike mshike wa pata shika ya nguo kuchanika ya washabiki na gwaride la mziki “bongo dansi” utakuwapo,

Pia karandinga la FFU wa ngoma africa limeegesha hapa unaweza kuchungulia virungu na vya machozi ya mziki at:
http://ngoma-africa.com/index.php?option=com_content&view=article&id=58&Itemid=58
Jipendelee kwa kujipa raha mwenyewe kwa kukongoli au bofya at

www.ngoma-africa.com

4 Responses to FFU wa Ngoma Africa band jukwaan Jumapili 26.06.2011 Freudenstadt City, nchini Ujerumani

  1. Anonymous says:

    Mambo vp bro me salehe j makunja vp kaka nilikuwa na taka japo alubamu moja nakupongeza.kwa.kazi njema unayoifanya sisi wote tunakuombea duwa kwa mungu azidi kuujali kama.vp kaza buti okey.usikuwema ni.mimi.salehe.makunja.wa tanzania.

  2. Anonymous says:

    Mambo vp bro me salehe j makunja vp kaka nilikuwa na taka japo alubamu moja nakupongeza.kwa.kazi njema unayoifanya sisi wote tunakuombea duwa kwa mungu azidi kuujali kama.vp kaza buti okey.usikuwema ni.mimi.salehe

  3. Good facts, exceptional and valuable design, as share superior stuff with good concepts and concepts.

  4. I want you to thank for the time of this wonderful study!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: