Huyu anaitwa Bibiciya Mfwengi, enzi hizo alikuwa kiongozi wa ma dance wa Werrason, kiukweli aliipandisha sana chat Sebene ya Werrason na kuinogesha pia.
Bibiciya alitokea kwa Koffi kabla ya kurejeshwa tena kwa Koffi hivi karibuni. Werrason aliumia sana kitendo cha BBCYA kuondoka na kurejea kwa Koffi lakini hakuna jinsi kwani kwa Sasa Koffi alikuwa anajaribu kujipanga upya kwa ushirikiano na mkewe Cindy.
Bibisia alipokuja Dar, hii ilikuwa Ubungo Plaza
Mashabiki wanamtaja kuwa huyu ni mcheza show ambaye kwa wakati huu anamashabiki wengi kuliko wengine wote, Wenge Musica BCBG waliwahi kuwa na stage show aliyekuwa akijulikana kama Neneh Sugar kama unakumbuka kwenye album ya Pentagone yule dada alikuwa anacheza vizuri sana.
Pia kulikuwa na stage show wa Kanda Bongo Man aliyekuwa akijulikana kama Tshantale, sina hakika mahali alipo ingawa kipindi fulani aliwahi kuvumishwa kuwa alifariki dunia (nimesema sina hakika).
Bonyeza player umuone mwanadada utakubaliana na mimi ni noma.
Ahaaa Linda Mundele Ahaa Linda Mundele Ahaa Linda Mundele.
Halafu siku hizi LeRoy de Forret ana Dada mmoja ambaye hapa kwetu huwa tunawanyapapaa kutokana na ngozi zao anaitwa Shakira ni balaa! pamoja na vipusa vipya vibiiiichi! ni balaaa!
mambo ya bibicia ndani ya zenith hii ilikua big show ya Le Rambow du Congoo Mopao Mokonzi Nkolo Lupemba Papa na Didi Stone Koffi Charles Antoine Olomide 2009…werra de La Forret anayo haki ya kumlilia bibicia
mambo ya bibicia ndani ya zenith hii ilikua big show ya Le Rambow du Congoo Mopao Mokonzi Nkolo Lupemba Papa na Didi Stone Koffi Charles Antoine Olomide 2009…werra de La Forret anayo haki ya kumlilia bibicia
bibisia simplement la plus belle et la meilleure danseuse