Werasson analeta Mambo!! Alamba “Multiple Entry Visa” ya miaka mitatu.

image

Kwa Mashabiki wa Werrason jamaa ndio huyo anakuja najua hapo wapenda muziki ni balaa.

Kwa mujibu wa waandaaji wa show hiyo Albert lumumba anasema kuwa tayari wanamuziki wote wameshapata Visa na show inatazamiwa kama ilivyopangwa. Kwa sasa wanafanya mazoezi makali kabla ya ziara hiyo, Halikadhalika Werrason atatumbuiza kwenye Tamasha la The Hague African Festival linalotazamiwa kuanza July 3.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: