KALUNDE BAND KUWASHA MOTO TRINITI, JOEVIC NA GIRRAFE WEEKEND HII

 

Ratiba ya bendi yako ya Kalunde wiki hii itaendelea kama kawaida baada ya kuanza kwa weekend, ambapo mkurugenzi wa bendi hiyo Deo Mwanambilimbi ameiambia FULLSHANGWEBLOG kwamba, kama kawaida wiki hii ijumaa watakuwa wakifanya vitu vyao pale TRINITI Oysterbay. Siku ya Jumamosi watajimuvuzisha mpaka kule Kawe Beach katika klabu ya wajanja ya Joevic na kufanya mambo makubwa hap,o na kufuatiwa na onyesho kabambe litakalofanyika katika hoteli ya New Girrafe Ocean View Mbezi.

Deo ameongeza kwamba bendi yake ya Kalunde inarejea tena kufanya maonyesho yake katika hoteli ya Girrafe Ocean View, baada ya kuwa katika mapumziko kwa kipindi fulani jambo liliowafanya pia kupata muda mzuri wa kujiandaa, katika kuwaletea mashabiki wa bendi hiyo burudani safi kabisa Bendi hiyo ambayo kwa sasa ina wanamuziki wakali kama vile Bob Ludala, Kiongozi wa bendi hiyo Gringo Junior, Debora Nyangi, Mwapwani, Remmy, Mwakichui pamoja na Deo mwenyewe imejiandaa vyema kukonga nyoyo za mashabiki wake katika viwanja vyote inatakavyotoa burudani.

Advertisements

2 Responses to KALUNDE BAND KUWASHA MOTO TRINITI, JOEVIC NA GIRRAFE WEEKEND HII

  1. Fairly selected he will possess a good read. Thank you for sharing!

  2. Exceptional post however , I was wondering if you could write a litte more on this subject? I’d be very thankful if you could elaborate a little bit further. Thanks!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: