Jamani wapi inapatikana Soyons Serieux

222643_10150184725900836_607430835_7348625_7939207_n

Hi Brother Micky,
Ahsante sana kwa vitu vyako vikali ambavyo navipataga katika mtandao wa spoti starehe mara kwa mara kuhusiana na mambo ya muziki wa ki-congo.

Mimi naitwa Charles Mbezi naisha jijini Tanga. Nimekuwa mpenzi sana wa Wenge Musica BCBG toka enzi hizo mpaka pale walipotengana na kuwa mpenzi mkubwa  wa JB Mpiana & Wenge BCBG yake, kwa kweli jamaa ni mkali sana mazuku yake balaa sana na zile live concert ndo usipime.

Nina mda kidogo nilikuwa sijatembea mtandaoni kutokana na shughuli za hapa na pale, sasa leo nimekuta umeweka kitu cha eric menthe cha my love na kuwaasa vijana wenzi (fally and gola) wakae chojo nimekiona na ni kizuri.

Kitu cha msingi kilichonifanya nikutumie e mail ni kutaka kukuuliza hii dvd ya album mpya ya soyons serieux imeshafika dsm? manake huku tanga natafuta sijaipata na nina mda mrefu kidogo kama miezi 8 hivi sijafika dsm.
Nitafurahi kama utanijibu hili swali langu.
Kila la kheri.
Charles.

Advertisements

One Response to Jamani wapi inapatikana Soyons Serieux

  1. mais informação

    Jamani wapi inapatikana Soyons Serieux | Spoti na Starehe

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: