Didier Lacoste, Alikuwa mhimili “back vocal” wa WMMM

 

Kijana anaitwa Didier Lacoste, Kwa wanamjua watakubaliana na mimi kwamba hili ni tunda la WMMM ambalo ni moto wa kuotea mbali, kwangu mimi kuna watu nilikuwa napenda sana kuwasiiliza WMMM kama Soleil Wanga ambaye kwa sasa yuko kivyake, dogo tangu aondoke Werasson alikuwa anamnunia sana na hawakuwahi kukutana uso kwa uso hadi walipokutana siku ya msiba na mazishi ya Madillu System.

Bofya umsikilize hapa.

Advertisements

3 Responses to Didier Lacoste, Alikuwa mhimili “back vocal” wa WMMM

  1. Anonymous says:

    pius>> unaweza ukanikumbusha ni lini wanga soleil alikuwa na werasson?? ninavyofahamu mimi alikuwa kwa koffi na alivyotoka amekuwa anapiga kivyake kama unavyosema. na mwanzoni kabisa wakati yeye,fally ipupa,montana na wengineo walipojitoa kwa koffi. fally alikuwa anapiga kinshasa na wanga alipanda na kumpa bonge la tafu fally. jaamaa yupo fiti sana kwa kuimba na kucheza ila sidhani kama alishawahi kuwa na werasson. msaada tafadhali???

  2. Stivin says:

    Huyu kamchnganaya na CELEO, inaonekana jinsi gani hampendi Werra hata wanamuziki wake hawajui, Man achana na Mpunda amia Msituni kwa laforet upate raha!

  3. Pius says:

    Ni kweli nilimaanisha Celeo Scam. Na kama utakumbuka waliokutana kwenye mazishi ya madilu ni Celeo sio Soleil, Naomba kurekebisha hapo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: