Twanga watambulisha tatu mpya!!

264584_234006083283590_100000225998697_1157256_2883079_n

Huku wakishuhudiwa na mamia ya mashabiki wao bendi Kongwe nchini Twanga Pepeta jana waliendelea kutambulisha nyimbo zao mpya ambazo zitakuwemo kwenye Albamu yao ya 11 inayotazamia kutoka hivi karibuni.

Twanga ambao wameonyesha kukamilika kila idara kwa kama zamani walipiga nyimbo za zamani kabla ya kutambulisha hizi mpya. Kwa jana walitambulisha nyimbo tatu ambazo ni utunzi wake Muumin Mwinyijuma unajulikana kama mashemeji, Wa Pili ni wa Dogo Rama ambao umepangwa vizuri na Wimbo wa Tatu ni toka kwa Mamaaa Luiza Mbutu.

Mashabiki walishangilia sana kila wimbo ulipoisha ikiwa ni ishara kuwa wanakubaliana na nyimbo hizo. Baadaye Twanga waliendelea na onyesho lao pale TCC Chang’ombe.

Advertisements

One Response to Twanga watambulisha tatu mpya!!

  1. Helen Harrow says:

    I want you to thank for the time of this excellent go through!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: