Piganeni sisi tuna yetu!! … “famous kissing couple”

the_identity_of_vancouvers_famous_kissing_couple_is_revealed

Wapenzi wawili ambao kwa kiasi kikubwa siku mbili hizi wamekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari huko Canada na ulimwenguni, hatimaye wamethibitisha kuwa hawakudhamiria kufanya tukio lile kama ilivyo ripotiwa katika picha hii iliyopigwa na mpiga picha wa shirika maarufu la Get Image.

Awali picha hiyo ilipamba vyombo vya habari kwa kilichopazwa kuwa wapenzi hawa waliamua kubusiana huku polisi wa Mji wa Vancouver huk Canada wakitembeza mkong’oto kwa raia waliokuwa wakiandamana.

Kwa mujibu wa gazeti la the Toronto Star na CBC wanaripoti kuwa wawili hawa Scott Jones na Alex Thomas walikuwa wakipeana huduma ya kwanza baada ya Jones (Mwanamke) kujeruhiwa na ngao ya Polisi kitendo kilivhompelekea mpenzi wake Thomas kumpa huduma ya kwanza kwa kuwa alikuwa akilia kwa uchungu na ndipo alipoamua kumkiss kama kumbembeleza na picha ikachukuliwa. soma zaidi hapa

Advertisements

One Response to Piganeni sisi tuna yetu!! … “famous kissing couple”

  1. Its my excellent pleasure to visit your blog site and also to love your terrific posts here. I like it lots. I can truly feel which you paid a lot attention for those articles, as all of them make sense and are incredibly beneficial.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: