Happy Birthday Lady Jay Dee

image

Mwanamuziki Judith Wambura ni mmoja wa ma super stars duniani wanaosherehekea siku yao ya kuzaliwa leo, Sina hakika Judy anatimiza miaka mingapi lakini kwa walio marafiki zake kwenye ukurasa wa Facebook tayari wametupia vijisalamu pale.

Wengine wanasherehekea leo ni pamoja na mcheza sinema maarufu Neil Patrick Haris, Jim Varney, Hellen Hunt na wengineo. Pia mwezi huu kuna wadau kibao wa mambo ya Starehe ambao wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa ikiwa ni Pamoja na Flaviana Matata 9 June, Mustafa Hassanali 9 June, Joseph Kusaga 9 June, Babu Njenje 15 June bila kumsahau Dada yangu Mwinda Kiula Mfugale June 13. Happy Birthday wadau wote.

Nawaacha na wimbo huu ambao ni ushirikiano wa Lady Jay Dee na Mr Blue unakwenda kwa jina la Wangu, natumai utaburudika vya kutosha.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: